Product Details
Hawala ya Fedha (Michezo ya Kuigiza, 14)

Hawala ya Fedha (Michezo ya Kuigiza, 14)
From Tanzania Publishing House

Price:

This item is not available for purchase from this store.
Click here to go to Amazon to see other purchasing options.


1 new or used available from $18.95

ONLY 10 AVAILABLE!

A dramatic Swahili adaptation of "The Money Order" by Senegalese author Sembene Ousmane.

Tamthilia hii, ambayo inatokana na riwaya, The Money Order, iliyoandikwa na mwandishi mashuhuri wa Senegal, Sembene Ousman, inajadili mfumo wa umangi-meza uliorithiwa na nchi nyingi za Afrika kutoka kwa wakoloni pamoja na athari zake kwa jamii.

Ibrahim Chande anafurahi sana anapopokea hawala ya shilingi 2000 kutoka kwa mpwaye aliyeko masomoni Landani. Lakini anashindwa kuzuia habari hizo nzuri kuwafikia majirani na watu wenye maduka mtaani kwao. Wote manamzengea wakitazamia chochote kutokana na fedha hizo, licha ya kwamba zote si zake. Hata hivyo, matatizo ya urasimu yanajiingiza kati yake na fedha hizo.

Product Description

A play in Swahili by Amandina Lihamba


Product Details

  • Published on: 1980
  • Binding: Paperback